MacKinlay Kantor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
MacKinlay Kantor, 1950

MacKinlay Kantor (4 Februari 190411 Oktoba 1977) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1956, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Andersonville.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu MacKinlay Kantor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.