James Gould Cozzens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Gould Cozzens (19 Agosti 19039 Agosti 1978) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1949, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Guard of Honor ("Gwaride la Heshima").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Gould Cozzens kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.