Allen Drury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Allen Drury

Allen Stuart Drury (2 Septemba 19182 Septemba 1998) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya riwaya yake ya kwanza “Shauri ukakubali” (kwa Kiingereza: Advise and Consent).

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allen Drury kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.