Eudora Welty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eudora Welty


Eudora Alice Welty (13 Aprili 190923 Julai 2001) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1973, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Optimist's Daughter.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eudora Welty kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.