Geraldine Brooks (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwandishi Geraldine Brooks

Geraldine Brooks (amezaliwa 14 Septemba 1955) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Australia; mwaka wa 2002 alipata pia uraia wa Marekani. Mwaka wa 2006, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake March.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geraldine Brooks (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.