Annie Proulx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Annie Proulx mnamo 2009

Edna Ann Proulx (amezaliwa 22 Agosti 1935) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Hasa ameandika chini ya jina Annie Proulx. Mwaka wa 1994, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Shipping News.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Annie Proulx kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.