William Kennedy (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Joseph Kennedy (amezaliwa 16 Januari 1928) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1984, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Ironweed.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Kennedy (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.