Ernest Poole
Mandhari
Ernest Cook Poole (23 Januari 1880 – 10 Januari 1950) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1918, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake His Family; ilikuwa mara ya kwanza ya kutolea tuzo hiyo.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernest Poole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |