Anne Tyler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anne Phyllis Tyler (amezaliwa 25 Oktoba 1941) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1989, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Breathing Lessons.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Tyler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.