Alison Lurie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Alison Lurie (3 Septemba 1926 - 3 Desemba 2020) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani.

Mwaka wa 1985, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Foreign Affairs.