Louis Bromfield

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Louis Bromfield, 1933

Louis Bromfield (27 Desemba 189618 Machi 1956) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1927, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Early Autumn.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Bromfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.