Steven Millhauser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Steven Millhauser (amezaliwa 3 Agosti 1943) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1997, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Martin Dressler.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Millhauser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.