Philip Roth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Philip Roth mnamo 1973

Philip Roth (amezaliwa 19 Machi 1933) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1998, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake American Pastoral.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philip Roth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.