Odd Hassel
Mandhari
Odd Hassel (17 Mei 1897 – 11 Mei 1981) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Norwei. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli mbalimbali. Mwaka wa 1969, pamoja na Derek Barton alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Odd Hassel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |