John Douglas Cockcroft
Mandhari
John Douglas Cockcroft (27 Mei 1897 – 18 Septemba 1967) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza kiini cha atomu. Mwaka wa 1948 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1951, pamoja na Ernest Walton alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Douglas Cockcroft kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |