Elijah Muhammad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elijah Muhammad

Muhammad speaking in 1964.

Elijah Muhammad (amezaliwa na jina la Elijah Robert Poole; 7 Oktoba, 1897 – 25 Februari, 1975) alikuwa kiongozi wa kidini wa shirika la Nation of Islam (NOI) kuanzia 1934 hadi kifo chake mnamo mwaka wa 1975.

Huyu ndiye mnasihi mkubwa wa Malcolm X, Louis Farrakhan, Muhammad Ali, na mtoto wake Warith Deen Mohammed.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Jisomee[hariri | hariri chanzo]

  • Berg, Herbert. Elijah Muhammad and Islam (NYU Press, 2009)
  • Clegg, Claude Andrew. An original man: The life and times of Elijah Muhammad (Macmillan, 1998)
  • Walker, Dennis. Islam and the Search for African American Nationhood: Elijah Muhammad, Louis Farrakhan, and the Nation of Islam (1995) online

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: