Mamlaka ya watu weusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mamlaka ya watu weusi (kutoka Kiingereza: Black supremacy au black supremacism) ni itikadi ambayo imejikita katika imani ya kumwezesha au kumhamasisha mtu mweusi kuwa juu na bora zaidi kwa watu wa rangi nyingine hivyo basi, watu weusi waweze kuwashinda watu ambao sio weusi katika nyanja zote yaani kiuchumi, kisiasa na kijamii. Kwa baadhi ya wataalamu wa Kizungu hili hulichukulia kundi la chuki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]