Tadeus Reichstein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tadeus Reichstein

Tadeus Reichstein (20 Julai 18971 Agosti 1996) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi, lakini alizaliwa Poland. Hasa alichunguza homoni katika gamba la tezi adrenali. Mwaka wa 1950, pamoja na Edward Kendall na Philip Hench alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tadeus Reichstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.