Patrick Blackett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Patrick Blackett

Patrick Maynard Stuart Blackett (18 Novemba 189713 Julai 1974) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi katika anga ya nje. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrick Blackett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.