Kool G Rap

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kool G Rap
Kool G Rap (cropped).jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Nathaniel Thomas Wilson
Amezaliwa 20 Julai 1968 (1968-07-20) (umri 54)
Queens, New York City, U.S.
Asili yake Corona, Queens, New York City, U.S.
Aina ya muziki Hip hop, mafioso rap, hardcore hip hop
Kazi yake Rapa, mtayarishaji wa rekodi, mwandishi-skrini, mtunzi wa vitabu
Miaka ya kazi 1986–hadi sasa
Studio Cold Chillin'/Warner Bros. Records
Cold Chillin'
Cold Chillin'/Epic Street/SME Records
KOCH'
Ame/Wameshirikiana na DJ Polo, Juice Crew, Marley Marl, Big Daddy Kane, Rakim, Canibus, Five Family Click, Wu-Tang Clan, Nas, MF Grimm, Mobb Deep, R.A. The Rugged Man, Ras Kass, DJ Premier, Rick Ross

Nathaniel Thomas Wilson (amezaliwa tar. 20 Julai 1968[1]), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kool G Rap (au kwa kifupi huitwa G Rap), Kool G. Rap, na Giancana (Maana ya kifupisho cha "G."), ni rappa, kutoka mjini Corona jirani na mji wa Queens, New York huko nchini Marekani.[2] Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ya 1980 akiwa kama nusu ya kundi la Kool G Rap na DJ Polo na pia akiwa kama mwanachama wa Juice Crew.

Mara kwa mara huhesabiwa kama miongoni mwa Ma-MC wenye athira na maarifa ya juu wa muda wote[3][4][5][6][1][7][8]akiwa kama mwanzilishi wa staili ya mafioso rap/street/hardcore[5][9][10][11][12][13] na uimbaji wa silabinyinginyingi.[14] Kwenye albamu yake ya The Giancana Story, ameeleza ya kwamba herufi "G" katika jina lake humaanisha "Giancana" (kajipa jina la jambazi sugu Sam Giancana), lakini kwa namna nyingine mwenyewe eti anadai lina-maanisha "Genius".[1]

Pia amewahi kutajwa na wasanii maarufu wa hip hop kama vile Eminem, Nas, Jay Z, Big Pun, RZA na wengine wengi tu.[15][16][17]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Miaka ya mwanzo[hariri | hariri chanzo]

Wilson amekulia katika mazingira hafifu mno huko mjini Corona Queens, New York akiwa na mtayarishaji mkongwe Eric B.[18] Katika mahojiano yake na jarida la The Source alieleza;

Kukulia mjini Corona ilikuwa kama Harlem ndogo, haikuwa vigumu sana kwa mtu mweusi kujihusisha na maisha ya mtaa hasa yale ya uendawazimu. Wakati nilivyokuwa kama na umri wa miaka 15 hivi, washikaji zangu hawakuweza kuvaa nguo nzuri na kwa kipindi hicho lazima utahitaji uwe na kiasi fulani cha pesa mfukoni mwako. Hicho ndicho kilichotukumba sisi sote, kulewa na mambo mabaya. Watu weusi wanashikwa na uchizi. Watu weusi wanaanza kuuza dawa za kulevya vichochoroni, na mambo hayo yote, ndiyo mambo yaliyokuwa yakiendelea huko mitaani... hatimaye maswahiba zangu wote wakawa wavutaji. Kila mtu alikuwa anadondoka kimaisha'. Maswahiba zangu wote wakaanza kufungasha vipuli vya bangi kila siku, kwa kifupi tulichizika kwa sana.[19]

Wakati fulani, Wilson alikuwa anamtafuta DJ, na kwa kupitia Eric B., akakutana na DJ Polo, ambaye alikuwa anamtafuta MC wa kushirikiana nae.[18]

Kool G Rap na DJ Polo[hariri | hariri chanzo]

Kazi za kujitegemea[hariri | hariri chanzo]

Urithi[hariri | hariri chanzo]

Maujanja ya kuchana mistari[hariri | hariri chanzo]

Mafioso na Staili za Kitaa[hariri | hariri chanzo]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

na DJ Polo Mwaka
Road to the Riches 1989
Wanted: Dead or Alive 1990
Live and Let Die 1992
Albamu za Kujitegemea Mwaka
4,5,6 1995
Roots of Evil 1998
The Giancana Story 2002
Half a Klip 2008
Riches, Royalty, Respect 2011[20]
Kompilesheni Mwaka
Killer Kuts 1994
Rated XXX 1996
The Best of Cold Chillin' 2000
Greatest Hits 2002
Kool G Rap & Twinn Loco Present – I Live Hip Hop – The Mixtape 2010
Albamu za Ushirikiano Akiwa na Mwaka
Click of Respect The 5 Family Click 2003
Legends Vol. 3 (digital album – Napster) J-love Enterprise 2004
The Godfathers[21][22] Necro 2012
Inatarajiwa kutangazwa[23] The Alchemist 2012

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. 1.0 1.1 1.2 Kool G Rap katika Allmusic
 2. Arnold, Paul W (5 Machi 2008). Kool G Rap: These Are Our Heroes | Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop. HipHop DX. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-04-30. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.
 3. Kool Moe Dee, 2003, There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs, Thunder's Mouth Press, p.225, 228.
 4. Shapiro, Peter, 2005, The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition, Penguin, p. 213-214.
 5. 5.0 5.1 The Greatest MCs Of All Time. 'MTV' (9 Machi 2006). Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.
 6. Kool G Rap katika Allmusic
 7. Alvin aqua Blanco and Bun B, UGK, Pimp C (16 Machi 2009). Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Bun B. Allhiphop.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-08. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.
 8. Reviews / Music : TOP 5 DEAD OR ALIVE: Rah Digga. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-01-30. Iliwekwa mnamo 2011-12-19.
 9. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named rollingstone.com
 10. Cobb, William Jelani, 2007, To The Break Of Dawn: A Freestyle On The Hip Hop Aesthetic, NYU Press, p. 59.
 11. Hess, Mickey, 2007, Icons Of Hip Hop, Greenwood Publishing Group, p.57.
 12. Kool Moe Dee, 2003, There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs, Thunder's Mouth Press, p.228.
 13. Kool G Rap katika Allmusic
 14. Shapiro, Peter, 2005, The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition, Penguin, p. 213.
 15. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named ReferenceB
 16. Edwards, Paul, 2009, How to Rap: The Art & Science of the Hip-Hop MC, Chicago Review Press, p. viii, 88, 324.
 17. Arnold, Paul W (5 Machi 2008). Kool G Rap: These Are Our Heroes | Rappers Talk Hip Hop Beef & Old School Hip Hop. HipHop DX. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-10-03. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.
 18. 18.0 18.1 Kool G Rap, Will C., 2008, Road to the Riches Remaster Liner Notes, p. 4.
 19. |30px|30px|Kool G Rap|The Source Magazine, issue 72, Septemba 1995.Kool G Rap, The Source, 1995, issue # 72
 20. Langhorne, Cyrus (1 Novemba 2010). Kool G Rap Shows Off "Riches, Royalty & Respect", "I'm Not Doing It To Try & Blend In". Sohh.Com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-08. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.
 21. Kool G Rap. Facebook. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.
 22. KOOL G. RAP & NECRO – THE GODFATHERS – FULL ALBUM – NecroHipHop.com Message Board. Necrohiphop.com (26 Septemba 2009). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-09-28. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.
 23. :: New album from.... Facebook (5 Novemba 2011). Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2011.

Soma zaidi[hariri | hariri chanzo]

 • Paul Edwards, foreword by Kool G Rap, 2009, How to Rap: The Art & Science of the Hip-Hop MC. Chicago Review Press.
 • Kool Moe Dee, 2003, There's A God On The Mic: The True 50 Greatest MCs, Thunder's Mouth Press.
 • Brian Coleman, 2007, Check The Technique: Liner Notes For Hip-Hop Junkies, Villard, Random House.
 • Peter Shapiro, 2005, The Rough Guide To Hip-Hop, 2nd Edition, Penguin.
 • William Jelani Cobb, 2007, To The Break Of Dawn: A Freestyle On The Hip Hop Aesthetic, NYU Press.
 • Mickey Hess, 2007, Icons Of Hip Hop, Greenwood Publishing Group.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: