Rick Ross

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rick Ross akiwa jukwaani.

Rick Ross (alizaliwa Mississipi, Marekani, tarehe 28 Januari 1976) ni msanii wa Marekani anayeimba nyimbo za hip hop.

Mwaka 2009 alianzisha studio iitwayo Maybach Music Group ambapo alitoa albamu kama vile Deeper Than Rap ya mwaka 2009, Teflon Don ya mwaka 2010, Hood Billionaire ya mwaka 2014, Black Market ya mwaka 2015 na Rather You Than Me ya mwaka 2017.

Pia Rick Ross alikuwa msanii wa kwanza kusajiliwa na kampuni ya Diddy's management company Ciroc Entertainment.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rick Ross kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.