Wu-Tang Clan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wu-Tang Clan

Maelezo ya awali
Asili yake Staten Island, New York, U.S.
Aina ya muziki East Coast hip hop, hardcore hip hop
Miaka ya kazi 1992 -
Studio Loud/RCA/BMG Records (1993–1998)
Loud/Columbia/SME Records (1999–2001)
Wu Music Group/SRC/Universal Motown/Loud (2007–hadi sasa)
Ame/Wameshirikiana na Gravediggaz, Killarmy, Streetlife, Sunz of Man, Shyheim, Nas, Black Knights of the North Star, Rakim, Busta Rhymes, Wu-Tang Killa Beez, Achozen, Killah Priest, Black Market Militia, Mathematics, Hell Razah, Royal Fam, True Master, 4th Disciple, 60 Second Assassin, GP Wu, Redman
Tovuti wutang-corp.com
Wanachama wa sasa
RZA (1992 – hadi sasa)
GZA (1992 – hadi sasa)
Method Man (1992 – hadi sasa)
Raekwon (1992 – hadi sasa)
Ghostface Killah (1992 – hadi sasa)
Inspectah Deck 1992 – hadi sasa)
U-God (1992 – hadi sasa)
Masta Killa (1992 – hadi sasa
Cappadonna (2007 – hadi sasa
Ol' Dirty Bastard (deceased) (1992 – 2004)

Wu-Tang Clan ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile RZA, GZA, Method Man, Raekwon, Ghostface Killah, Inspectah Deck, U-God, Masta Killa, na hayati Ol' Dirty Bastard [1] na Cappadonna ambaye amejiunga rasmi kwenye kundi 2007 kabla ya kutoa 8 Diagrams.[2] Walianzisha wakiwa ndani ya (na kwa ujumla hushirikiana na ) kisehemui cha kujitawala cha New York City cha Staten Island (hutumiwa na wanachama hao kama "Shaolin"), ingawa miongoni mwa wanachama hao hutokea huko mjini Brooklyn, akiwa na mwanachama mmoja kutoka The Bronx.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-02. Iliwekwa mnamo 2009-11-05.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-10. Iliwekwa mnamo 2021-01-17.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: