Raekwon
Mandhari
Raekwon The Chef | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Corey Woods |
Asili yake | New York City, New York, United States |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 1993 - mpaka sasa |
Studio | Loud, Universal, Aftermath, EMI Legion of D.O.O.M. |
Ame/Wameshirikiana na | Wu-Tang Clan |
Tovuti | www.myspace.com/raekwon |
Corey Woods (amezaliwa 12 Januari, 1970) ni msanii wa rap na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Raekwon (pia huitwa "Raekwon the Chef"). Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip la Wu-Tang Clan. Alitoa albamu yake ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea mnamo mwaka wa 1995. Albamu ilikwenda kwa jina la Only Built 4 Cuban Linx..., na akaendelea kufanya shughuli zake akiwa kama msanii wa kujitegemea huku akiwa na washikaji zake wa Wu-Tang Clan. Mnamo mwaka wa 2009, Raekwon ametoa toleo la pili la albamu yake ya kwanza na kuipa sifa ileile, Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II.
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Nafasi ya Chati[1] | RIAA certifications[2] | ||
---|---|---|---|---|---|
U.S. | U.S. R&B | U.S. Rap | |||
1995 | Only Built 4 Cuban Linx...
|
4 | 2 | * | Gold |
1999 | Immobilarity
|
9 | 2 | * | Gold |
2003 | The Lex Diamond Story
|
102 | 18 | * | - |
2009 | Only Built 4 Cuban Linx... Pt. II
|
4 | 2 | 2 | 210,000[3] |
Kandamseto
[hariri | hariri chanzo]Jina la Albamu | Tarehe ya Kutolewa |
---|---|
Only Built 4 the Streets | 2003 |
Heroin Only | 2006 |
R.A.G.U. (Rae and Ghost United) | 2006 |
The Vatican Mixtape Vol. 1 | 2007 |
The Vatican Mixtape Vol. 2: The DaVinci Code | 2007 |
The Vatican Mixtape Vol. 3: House of Wax | 2007 |
R.A.G.U. Vol. 2 (Raekwon and Ghostface United Pt. 2) | 2008 |
Blood On Chefs Apron | 2009 |
Staten Go Hard[4] | 2009 |
Single zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Nafasi ya Chati | Albamu | ||
---|---|---|---|---|---|
U.S. | U.S. R&B | U.S. Rap | |||
1994 | "Heaven & Hell" (akimshirikisha Ghostface Killah) | — | 102[5] | 32 | Fresh soundtrack and Only Built 4 Cuban Linx... |
1995 | "Incarcerated Scarfaces" / "Ice Cream" (akimshirikisha Ghostface Killah, Method Man, na Cappadonna) | 37 | 37 | 5 | Only Built 4 Cuban Linx... |
"Glaciers of Ice" (akimshirikisha Ghostface Killah, Masta Killa, and Blue Raspberry)/ "Criminology" (akimshirikisha Ghostface Killah) | 43 | 32 | 5 | ||
1999 | "Live From New York" | — | — | 30 | Immobiliarity |
2003 | "Smith Bros." | — | — | — | The Lex Diamond Story |
2004 | "The Hood" (akimshirikisha Tiffany Villarreal) | — | — | — | |
2009 | "New Wu" (akimshirikisha Ghostface Killah and Method Man) | — | — | — | Only Built 4 Cuban Linx... Part II |
"House of Flying Daggers" (akimshirikisha GZA, Method Man, Inspectah Deck, Ghostface Killah) | — | — | — | ||
"Catalina" (akimshirikisha Lyfe Jennings) | — | — | — |
Akiwa kama mwimbaji mshirikishwa
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Nafasi ya Chati | Albamu | ||
---|---|---|---|---|---|
U.S. | U.S. R&B | U.S. Rap | |||
2000 | "Apollo Kids" (Ghostface Killah akimshirikisha Raekwon) | — | 121 | 32 | Supreme Clientele |
2001 | "Never Be the Same Again" (Ghostface Killah akimshirikisha Carl Thomas na Raekwon) | — | 65 | 21 | Bulletproof Wallets |
2008 | "Royal Flush" (Big Boi akimshirikisha Andre 3000 na Raekwon) | — | 68 | — | Sir Luscious Left Foot: The Son of Chico Dusty |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Raekwon > Charts & Awards > Billboard Albums". allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-09-18.
- ↑ "Gold & Platinum - Raekwon". RIAA. Iliwekwa mnamo 2008-09-08.
- ↑ http://www.hiphopdx.com/index/news/id.9931/title.hip-hop-album-sales-the-week-ending-10-4-2009
- ↑ Raekwon - Staten Go Hard Mixtape Archived 27 Machi 2009 at the Wayback Machine.. WeLiveThis.com. Accessed 23 Machi 2009
- ↑ "Bubbling Under Hot R&B Singles", Billboard, juz. 107, na. 2, uk. 19, 1995-01-14
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Raekwon katika MySpace
- Wu-Tang Clan website
- HHC Digital interview with Raekwon about 'Only Built 4 Cuban Linx 2' Archived 2009-05-16 at Archive.today
- Raekwon at the Internet Movie Database
- Raekwon video interview Archived 22 Agosti 2009 at the Wayback Machine. Agosti 2009 on Black Sheep Magazine
- Raekwon video interview Archived 22 Septemba 2009 at the Wayback Machine. Septemba 2009 / Only Built 4 Cuban Linx 2
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raekwon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |