RZA
Mandhari
RZA | |
---|---|
RZA in New York City to discuss "The Tao of Wu"
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Robert Fitzgerald Diggs |
Pia anajulikana kama | The Abbot, Bobby Digital, Bobby Steels, Prince Rakeem, The RZArecta, The Scientist, Prince Delight, Prince Dynamite, Ruler Zig-Zag-Zig Allah, #0 |
Amezaliwa | 11 Mei 1969 Brownsville, Brooklyn, New York |
Asili yake | Brooklyn, New York, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Rapa CEO mtayarishaji mwigizaji mwandishiskirini mtunzi wa vitabu mwongozaji |
Ala | Rap, Gitaa, Piano, Kinanda, Zither, Sampler |
Miaka ya kazi | 1989–mpaka sasa |
Studio | Tommy Boy/Warner Bros. Records Wu-Tang Records/Razor Sharp/Epic/36 Chambers Records/Wu Music Group/Wu-Tang International/SME Records Virgin/EMI Records Koch Records |
Robert Fitzgerald Diggs (amezaliwa tar. 5 Julai 1969) ni mshindi wa Tuzo za Grammy, akiwa kama mtayarishaji wa muziki, mtunzi wa vitabu, rapa, mwigizaji, mwongozaji, na mwandishiskrini kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama RZA. Yeye ni umbo mashuhuri kwenye muziki wa hip hip na pia anaonekana kama ndiyo kiongozi wa kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Ametayarisha karibuni albamu zote za Wu-Tang Clan vilvile kazi nyingi za ushirikia na kujitegemea za wana-Wu-Tang. Baadaye akaamua kujikita zaidi kwenye suala zima la kutengeneza vibwagizo vya filamu na ugizaji kwa ujumla.
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]- Bobby Digital in Stereo (1998)
- Digital Bullet (2001)
- Birth of a Prince (2003)
- Digi Snacks (2008)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- RZA katika All Music Guide
- RZA at the Internet Movie Database
- The RZA katika MySpace
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu RZA kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |