The Bronx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Angani ya Uwanja wa Yankee katika Eneo la The Bronx
Ramani hii ni New York City. Sehemu ya njano ni eneo la The Bronx

The Bronx ni moja kati ya sehemu za New York City, Marekani. Jina linatokana na Bronck's Farms, ambalo linamilikiwa na mlowezi mmoja aitwaye Jonas Bronck.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu The Bronx kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.