Nenda kwa yaliyomo

East Coast hip hop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

East Coast hip hop ni jina la fomu ya muziki wa hip hop ambao unaasili na kukuzwa mjini New York City, Marekani, mwanzoni mwa miaka ya 1970 na 1980. Mtindo huu ulianza kujulikana hasa baada ya wasanii wengine kutoka sehemu mbalimbali za Marekani na kuongezea staili tofauti. East Coast hip hop ulifahamika sana kama ndiyo fomu halisi ya muziki wa hip hop.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu East Coast hip hop kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.