Toba wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Toba

Toba (24 Februari, 110320 Julai, 1156) alikuwa mfalme mkuu wa 74 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Munehito, na alikuwa mwana wa Tenno Horikawa. Mwaka wa 1107 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1123. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Sutoku.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toba wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.