Joseph Sinde Warioba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Joseph Sinde Warioba (amezaliwa 3 Septemba 1940) ni mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Kuanzia tarehe 5 Novemba 1985 hadi tarehe 9 Novemba 1990 alikuwa Waziri Mkuu wa sita wa Tanzania. Alifuatwa na John Malecela.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Sinde Warioba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.