Idris Abdul Wakil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Idris Abdul Wakil

Rais wa 4 wa Zanzibar
Muda wa Utawala
24 Oktoba 1985 – 25 Oktoba 1990
mtangulizi Ali Hassan Mwinyi
aliyemfuata Salmin Amour

tarehe ya kuzaliwa 10 Aprili 1925
Usultani wa Zanzibar
tarehe ya kufa 15 Machi 2000
Zanzibar City, Zanzibar
mahali pa kuzikiwa Unknown?
utaifa Tanzania
chama CCM
chamakingine Afro-Shirazi Party
dini Uislamu

Idris Abdul Wakil (10 Aprili 1925 - 15 Machi 2000)[1] ni mwanasiasa wa Tanzania aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar kuanzia 24 Oktoba 1985 hadi 25 Oktoba 1990.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Abdul Wakil, Idris. rulers.org. Iliwekwa mnamo 12 December 2017.
  2. Balloting on Zanzibar. Los Angeles Times (14 October 1985). Iliwekwa mnamo 31 May 2013.
Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Idris Abdul Wakil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.