Orodha ya Makamu wa Rais Tanzania
Mandhari
(Elekezwa kutoka Makamu wa Rais wa Tanzania)
Tanzania |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Orodha ya Makamu wa Rais wa Tanzania ni cheo cha pili kwa ukubwa kisiasa nchini Tanzania.
Historia ya walioshika ofisi ni hawa wafuatao:
Jina | Ameingia Ofisini | Ameondoka Ofisini |
---|---|---|
Abeid Amani Karume | 1965 | 1972 |
Mwinyi Aboud Jumbe | 1972 | 1984 |
Ali Hassan Mwinyi | 1984 | 1985 |
Joseph Sinde Warioba | 1985 | 1990 |
John Samuel Malecela | 1990 | 1994 |
Cleopa David Msuya | 1994 | 1995 |
Omar Ali Juma | 1995 | 2001 |
Ali Mohamed Shein | 2001 | 2010 |
Mohamed Gharib Bilal | 2010 | 2015 |
Samia Hassan Suluhu | 2015 | 2021 |
Philip Isdor Mpango | 2021 |