Cleopa David Msuya
Mandhari
Cleopa David Msuya (amezaliwa 4 Novemba 1931) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania.Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro,Tarafa ya Usangi. Alikuwa Waziri Mkuu mara mbili, 7 Novemba 1980 hadi 24 Februari 1983, na tena 7 Desemba 1994 hadi 28 Novemba 1995. Kwa sasa ameshastaafu siasa ingawa bado anashika nyadhifa mbali mbali serikalini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu Waziri Wakuu waliopita Ilihifadhiwa 17 Machi 2010 kwenye Wayback Machine.
Alitanguliwa na Edward Moringe Sokoine |
Waziri Mkuu wa Tanzania 1980-1983 |
Akafuatiwa na Edward Moringe Sokoine |
Alitanguliwa na John Samuel Malecela |
Waziri Mkuu wa Tanzania 1994-1995 |
Akafuatiwa na Frederick Sumaye |
Alitanguliwa na John Samuel Malecela |
Makamu wa Rais wa Tanzania 1994-1995 |
Akafuatiwa na Omar Ali Juma |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cleopa David Msuya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |