Frederick Sumaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Frederick Sumaye

Frederick Tluway Sumaye (amezaliwa 29 Mei 1950) alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 27 Novemba 1995 mpaka 28 Desemba 2005.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Sumaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.