Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania ni kama ifuatavyo.

Orodha ya Viongozi wa Serikali ya Tanzania

Waziri Kiongozi wa Tanganyika
Jina Amechukua Ofisi Ameondoka Ofisini Chama
Julius Kambarage Nyerere 2 Septemba 1960 1 Mei 1961 TANU
Mawaziri Wakuu wa Tanganyika
Julius Kambarage Nyerere 1 Mei 1961 22 Januari 1962 TANU
Rashidi Kawawa 22 Januari 1962 9 Desemba 1962 TANU
Nafasi Zilizoondolewa Tangu (9 Desemba 1962-17 Februari 1972)
Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rashidi Kawawa 17 Februari 1972 13 Februari 1977 TANU
Edward Moringe Sokoine 13 Februari 1977 7 Novemba 1980 CCM
Cleopa David Msuya 7 Novemba 1980 24 Februari 1983 CCM
Edward Moringe Sokoine 24 Februari 1983 12 Aprili 1984 CCM
Salim Ahmed Salim 24 Aprili 1984 5 Novemba 1985 CCM
Joseph Sinde Warioba 5 Novemba 1985 9 Novemba 1990 CCM
John Malecela 9 Novemba 1990 7 Desemba 1994 CCM
Cleopa David Msuya 7 Desemba 1994 28 Novemba 1995 CCM
Frederick Sumaye 28 Novemba 1995 30 Desemba 2005 CCM
Edward Ngoyai Lowassa 30 Desemba 2005 7 Februari 2008 CCM
Mizengo Pinda 9 Februari 2008 20 Novemba 2015 CCM
Kassim Majaliwa Majaliwa 20 Novemba 2015 13 Novemba 2025 CCM
Mwigulu Nchemba 13 Novemba 2025 Mpaka sasa CCM

Ushirika wa Kisiasa

Tazama pia

Viungo vya nje