Orodha ya viwanja vya ndege nchini Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Air Tanzania katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Ndege katika Uwanja wa ndege wa Arusha
Uwanja wa ndege wa Bukoba, 2008
Uwanja wa Ndege wa Iringa miaka ya 1960
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, 2013

Orodha ya viwanja vya ndege katika Tanzania.

Kata ICAO     IATA   Jina
Civil Airports
Arusha HTAR ARK Uwanja wa ndege wa Arusha
Bukoba HTBU BKZ Uwanja wa ndege wa Bukoba
Chunya HTCH   Uwanja wa ndege wa Chunya
Dar es Salaam HTDA DAR Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Dodoma HTDO DOD Uwanja wa ndege wa Dodoma
Iringa HTIR IRI Uwanja wa ndege wa Iringa
Kigoma HTKA TKQ Uwanja wa ndege wa Kigoma
Kilimatinde HTKT   Uwanja wa ndege wa Kilimatinde
Kilwa Masoko HTKI KIY Uwanja wa ndege wa Kilwa Masoko
Kongwa HTKO   Uwanja wa ndege wa Kongwa
Ziwa Manyara HTLM LKY Uwanja wa ndege wa Lake Manyara
Lindi HTLI LDI Uwanja wa ndege wa Lindi Kikwetu
Kisiwa cha Mafia HTLM MFA Uwanja wa ndege wa Mafia
Mafinga HTSH   Uwanja wa ndege wa Mafinga
Masasi HTMI XMI Uwanja wa ndege wa Masasi
Mbeya HTMB MBI Uwanja wa ndege wa Mbeya
Mombo HTMO   Uwanja wa ndege wa Mombo
Morogoro HTMG   Uwanja wa ndege wa Morogoro
Moshi HTMS QSI Uwanja wa ndege wa Moshi
Mlima Kilimanjaro HTKJ JRO Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
Mpanda HTMP   Uwanja wa ndege wa Mpanda
Mpwapwa HTMX   Uwanja wa ndege wa Mpwapwa
Mtwara HTMT MYW Uwanja wa ndege wa Mtwara
Musoma HTMU MUZ Uwanja wa ndege wa Musoma
Mwadui HTMD MWN Uwanja wa ndege wa Mwadui
Mwanza HTMD MWZ Uwanja wa ndege wa Mwanza
Nachingwea HTNA NCH Uwanja wa ndege wa Nachingwea
Ngara HTNR   Uwanja wa ndege wa Ngara
Njombe HTNJ JOM Uwanja wa ndege wa Njombe
Kisiwa cha Pemba HTPE PMA Uwanja wa ndege wa Pemba
Same Mjini HTSE   Uwanja wa ndege wa Same
Seronera HTSN SEU Uwanja wa ndege wa Seronera
Shinyanga HTSY SHY Uwanja wa ndege wa Shinyanga
Singida HTSD   Uwanja wa ndege wa Singida
Songea HTSO SGX Uwanja wa ndege wa Songea
Sumbawanga HTSU SUT Uwanja wa ndege wa Sumbawanga
Tabora HTTB TBO Uwanja wa ndege wa Tabora
Tanga HTTG TGT Uwanja wa ndege wa Tanga
Tunduru HTTU   Uwanja wa ndege wa Tunduru
Urambo HTUR   Uwanja wa ndege wa Urambo
West Kilimanjaro HTWK   Uwanja wa ndege wa West Kilimanjaro
Zanzibar HTZA ZNZ Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar

Marejeo[hariri | hariri chanzo]