Uwanja wa ndege wa Sumbawanga
Mandhari
Uwanja wa ndege wa Sumbawanga English: Sumbawanga Airport | |||
---|---|---|---|
IATA: SUT – ICAO: HTSU – WMO: 63881 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Sumbawanga, Tanzania | ||
Mwinuko Juu ya UB |
5,920 ft / 1,804 m | ||
Anwani ya kijiografia | 7°56′56″S 31°36′37″E / 7.94889°S 31.61028°E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
07/25 | 1,428 | 4 685 | Udongo/Nyasi |
Uwanja wa ndege wa Sumbawanga (IATA: SUT, ICAO: HTSU) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Sumbawanga nchini Tanzania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |