Tunduru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tunduru ni mji wa Tanzania kusini ni makao makuu ya wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma.

Umbali wake na Songea mjini ni kilomita 272 lakini kutokana na hali ya barabara njia hii inaweza kuchukua masaa 8 - 10.

Marejeo ya Nje[hariri | hariri chanzo]

Sensa ya 2001 - Tunduru.

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tunduru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Jamii inayo ishi Wilani tunduru ni wayao, na wanategemea sana Shughuli za kilimo, cha korosho na sasa wamejikita sana kwenye kilimo cha Mpunga. Wananchi wa Tunduru wapo nyuma sana kimaendeleo ya Kielimu kiasi kwamba wanafikia hatua ya kuacha kwenda shule na kujihusisha na Kilimo cha kujikimu