Tanga
Tanga ni jina la
- Mkoa wa Tanga katika Tanzania
- Wilaya ya Tanga, Tanzania
- Mji wa Tanga
- Tanga (Songea) - kata katika mkoa wa Ruvuma, Tanzania
Neno "Tanga" linamaanisha pia
- Tanga (chombo), kitambaa kikubwa kinachokingamishwa kwenye mlingoti wa jahazi
- Tanga (pesa), sarafu ndogo huko Tajikistan (100 Tanga = 1 Rubel)
- Tanga (nguo), aina za chupi za wakinamama zinazohitaji kitambaa kidogo sana
- Tanga (kundinyota)
Kuna pia filamu ya Kibrazilia yenye jina la "Tanga" ambamo Tanga ni jina la kisiwa kidogo.