Wilaya ya Tanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Tanga katika mkoa wa Tanga.
Tanga

Wilaya ya Tanga ni wilaya moja ya Mkoa wa Tanga nchini Tanzania yenye Postikodi namba 21200. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Tanga ilihesabiwa kuwa 243,580 [1].

Wilaya hii ni hasa pamoja na mji wa Tanga ambao ni bandari muhimu ya Tanzania kaskazin ya Dar es salaam.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

CentralChongoleaniChumbageniDugaKiomoniKirareMabawaMabokweniMagaoniMajengoMakororaMarunguMasiwaniMaweniMnyanjaniMsambweniMwanzangeMzinganiMzizimaNgamiani KaskaziniNgamiani KatiNgamiani KusiniNguvumaliPongweTangasisiTongoniUsagara