Duga (Tanga)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa.

Duga ni kata ya Tanga Mjini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania, yenye Postikodi namba 21114.

Kata hiyo ina ukubwa wa kilomita za mraba 2.4[1] uwiano wa mwinuko ni mita 25 (futi 82)[2].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 24,545 [3]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,704 [4] waishio humo[5].

Marehemu Shabani Robert, aliyekuwa mshairi wa taifa, alikuwa na nyumba/makazi katika kata ya Duga, nayo ni kivutio kikubwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tanzania: Northern Tanzania (Districts and Wards) - Population Statistics, Charts and Map". www.citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  2. elevationmap.net. "Duga Dampo, Duga, Tanga, Tanzania on the Elevation Map. Topographic Map of Duga Dampo, Duga, Tanga, Tanzania.". elevationmap.net (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-14. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  3. https://www.nbs.go.tz
  4. "Sensa ya 2012, Tanga - Tanga CC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-16. 
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-26. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
Kata za Wilaya ya Tanga - Tanzania

CentralChongoleaniChumbageniDugaKiomoniKirareMabawaMabokweniMagaoniMajengoMakororaMarunguMasiwaniMaweniMnyanjaniMsambweniMwanzangeMzinganiMzizimaNgamiani KaskaziniNgamiani KatiNgamiani KusiniNguvumaliPongweTangasisiTongoniUsagara


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Duga (Tanga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.