Jahazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jahazi pembezoni mwa bahari

Jahazi (kutoka neno la Kiarabu) ni chombo ambacho hutumika kusafiri majini na hasa hutumiwa na watu wa hali ya chini.

Pia hutumika katika kazi za uvuvi kwa wavuvi wadogowadogo na matumizi ya usafiri wa maeneo madogomadogo.