Tanga (chombo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia Tanga (maana)

Jahazi inayoenda kwa tanga

Tanga ni kipande kikubwa cha kitambaa kinachopokea nguvu ya upepo.

Tanga inafungwa kwenye mlingoti wa jahazi au merikebu na mwendo wa upepo unaleta shindikizo kwenye uso wake na hivyo kusababisha mwendo wa chombo chote.


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: