Kilwa Masoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Kilwa


Kata ya Kilwa Masoko
Nchi Tanzania
Mkoa Lindi
Wilaya Kilwa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 12,324

[[Picha:

Muonekano wa uwanja wa ndege wa Kilwa_Masoko

Kilwa Masoko ni mji mdogo katika Tanzania ikiwa makao makuu ya Wilaya ya Kilwa tangu miaka ya 1960.

Iko barani ikitazama Kilwa Kisiwani. Mji ni wa kisasa. Kuna uwanja mdogo wa ndege pia bandari ndogo yenye kituo cha forodha.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,601 Msimbo wa posta ni 65408 [1] walioishi humo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Lindi - Kilwa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-04.
Kata za Wilaya ya Kilwa - Mkoa wa Lindi - Tanzania

Chumo | Kandawale | Kibata | Kikole | Kijumbi | Kilwa Masoko | Kipatimu | Kivinje Singino | Kiranjeranje | Lihimalyao | Likawage | Mandawa | Miteja | Mingumbi | Mitole | Namayuni | Miguruwe | Nanjirinji | Njinjo | Pande Mikoma | Somanga | Songosongo | Tingi (Kilwa)


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilwa Masoko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.