Kivinje Singino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kivinje Singino ni kata ya Wilaya ya Kilwa katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,376 Msimbo wa posta ni 65411 [1] walioishi humo.

Kata hii inajumlisha mji wa kale Kilwa Kivinje (ndani yake sehemu za Magengeni na Mgongeni) na vijiji vya Singino, Matandu na Nangurukuru.

Singino ina jina lake kutokana na kilima cha Singino ambako wakati wa ukoloni wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani Wajerumani walijenga nyumba ya starehe[2] na mnara mdogo wa kumbukumbu ya chansella Bismarck[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kilwa - Mkoa wa Lindi - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chumo | Kandawale | Kibata | Kikole | Kijumbi | Kilwa Masoko | Kipatimu | Kivinje Singino | Kiranjeranje | Lihimalyao | Likawage | Mandawa | Miteja | Mingumbi | Mitole | Namayuni | Miguruwe | Nanjirinji | Njinjo | Pande Mikoma | Somanga | Songosongo | Tingi (Kilwa)


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kivinje Singino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.