Uwanja wa ndege wa Mbeya
Mandhari
Uwanja wa ndege wa Mbeya ni uwanja wa ndege mdogo unaohudumia jiji la Mbeya, kusini mwa Tanzania. Ulikuwa uwanja wa ndege wa kwanza wa Mbeya lakini ilhali ni mdogo unatumiwa tu na eropleni ndogo; usafiri wa hewani wa Mbeya kwa kawaida hupita uwanja wa ndege wa Songwe.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |