Uwanja wa ndege wa Arusha
Mandhari
| Uwanja wa ndege wa Arusha English: Arusha Airport | |||
|---|---|---|---|
| IATA: ARK – ICAO: HTAR – WMO: 63789 | |||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
| Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
| Mahali | Arusha, Tanzania | ||
| Kitovu cha | Air Excel Regional Air | ||
| Mwinuko Juu ya UB |
4,550 ft / 1,387 m | ||
| Anwani ya kijiografia | 03°22′00″S 36°37′19″E / 3.36667°S 36.62194°E | ||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
| m | ft | ||
| 09/27 | 1,620 | 5 315 | Lami |
| Takwimu (2004) | |||
| Idadi ya abiria | 87,252 | ||
Uwanja wa ndege wa Arusha (IATA: ARK, ICAO: HTAR) ni kiwanja cha ndege cha Arusha, Tanzania.
Abiria 87,252 walipita humo mwaka 2004.
Makampuni ya ndege na vifiko
[hariri | hariri chanzo]| Makampuni ya ndege | Vifiko |
|---|---|
| Precision Air | Zanzibar, Dar es Salaam |
| Regional Air Services | Kilimanjaro, Manyara |
| Air Excel Ltd | Manyara, Zanzibar, Seronera, Grumeti |
| ZanAir | Zanzibar |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
