Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa ndege wa Mwanza

Majiranukta: 02°26′40″S 32°55′57″E / 2.44444°S 32.93250°E / -2.44444; 32.93250
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa ndege wa Mwanza
English: Mwanza Airport
IATA: MWZICAO: HTMW
WMO: 63756
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Mwanza, Tanzania
Kitovu cha Auric Air
Mwinuko 
Juu ya UB
3,763 ft / 1,147 m
Anwani ya kijiografia 02°26′40″S 32°55′57″E / 2.44444°S 32.93250°E / -2.44444; 32.93250
Ramani
MWZ is located in Tanzania
MWZ
MWZ
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
12/30 3,010 9 875 Lami
Takwimu (2007)
Idadi ya abiria 234,870
Tani za mizigo 4,983

Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Mwanza ni uwanja mkubwa wa ndege kwa miji ya karibu na nchi za jirani iliyoko jijini la Mwanza nchini Tanzania (IATA: MWZICAO: HTMW). Uwanja huu ni kitovu kikuu cha Auric Air na Delavia- Far East Airways, na pia kitovu kidogo kwa aajili ya Precision Air na Air Tanzania

Makampuni ya ndege na vifiko

[hariri | hariri chanzo]

Yabebayo Abiria

[hariri | hariri chanzo]
Makampuni ya ndege Vifiko 
Air Tanzania Arusha, Dar Es Salaam, Kigoma
Auric Air Bukoba, Tabora, Rubondo, Dar es salaam, Mbeya, Iringa, Kigoma, Songea, Pemba, Tanga, Zanzibar, Mbeya, Ndutu, Sumbawanga
Coastal Aviation Arusha, Dar es Salaam, Fort Ikoma, Grumeti, Kigali, Klein's Camp, Kogatende, Lobo, Manyara, Ngorongoro, Pemba, Sasakwa, Seronera, Southern Serengeti, Tanga, Tarime, Zanzibar
Delavia - Far East Airways Bukoba, Karasabai, Kigoma
Fly540 Bujumbura, Dar es Salaam, Kilimanjaro, Nairobi-Jomo Kenyatta, Zanzibar
JetLink Express Dar es Salaam [expected], Kisumu, Mombasa [expected], Nairobi-Jomo Kenyatta
Kenya Airways Kilimanjaro, Nairobi-Jomo Kenyatta [all codeshare flights (with Precision Air)]
Kilwa Air Bukoba, Entebbe
Precision Air Bukoba, Dar es Salaam, Entebbe, Kigoma, Kilimanjaro, Musoma, Nairobi-Jomo Kenyatta, Shinyanga

Yabebayo Mzigo

[hariri | hariri chanzo]
Makampuni ya ndege Vifiko 
Astral Aviation Nairobi-Jomo Kenyatta
Avia Traffic Company Dar es Salaam

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: