Uwanja wa ndege wa Kigoma
Mandhari
| Uwanja wa ndege wa Kigoma English: Kigoma Airport | |||
|---|---|---|---|
| IATA: TKQ – ICAO: HTKA – WMO: 63801 | |||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
| Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
| Mahali | Ujiji, Kigoma, Tanzania | ||
| Mwinuko Juu ya UB |
2,700 ft / 823 m | ||
| Anwani ya kijiografia | 4°53′06″S 29°40′13″E / 4.88500°S 29.67028°E | ||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
| m | ft | ||
| 16/34 | 1,794 | 5 886 | Changarawe |
| Takwimu (2006) | |||
| Harakati za ndege | 2,444 | ||
Uwanja wa ndege wa Kigoma (IATA: TKQ, ICAO: HTKA) ni kiwanja cha ndege cha Kigoma, Tanzania.
Makampuni ya ndege na vifiko
[hariri | hariri chanzo]| Makampuni ya ndege | Vifiko |
|---|---|
| Precision Air | Dar es Salaam |
| Air Tanzania | Dar es Salaam, Tabora |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
| Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |