Uwanja wa ndege wa Mtwara
Mandhari
| Uwanja wa ndege wa Mtwara English: Mtwara Airport | |||
|---|---|---|---|
| IATA: MYW – ICAO: HTMT – WMO: 63971 | |||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
| Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
| Mahali | Mtwara, Tanzania | ||
| Mwinuko Juu ya UB |
371 ft / 113 m | ||
| Anwani ya kijiografia | 10°20′10″S 40°10′55″E / 10.33611°S 40.18194°E | ||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
| m | ft | ||
| 01/19 | 2,260 | 7 415 | Lami |
| 08/26 | 1,173 | 3 848 | Changarawe |
Uwanja wa ndege wa Mtwara (IATA: MYW, ICAO: HTMT) ni kiwanja cha ndege cha Mtwara, Tanzania.
Makampuni ya ndege na vifiko
[hariri | hariri chanzo]| Makampuni ya ndege | Vifiko |
|---|---|
| Precision Air | Kigoma |
| Air Tanzania | Dar es Salaam |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
| Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |