Uwanja wa ndege wa Shinyanga
Mandhari
| Uwanja wa ndege wa Shinyanga / Ibadakuli English: Shinyanga / Ibadakuli Airport | |||
|---|---|---|---|
| IATA: SHY – ICAO: HTSY – WMO: 63784 | |||
| Muhtasari | |||
| Aina | Matumizi ya Umma | ||
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
| Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
| Mahali | Shinyanga, Tanzania | ||
| Mwinuko Juu ya UB |
3,800 ft / 1,158 m | ||
| Anwani ya kijiografia | 03°36′34″S 33°30′15″E / 3.60944°S 33.50417°E | ||
| Ramani | |||
| Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
| Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
| Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
| m | ft | ||
| 11/29 | 2,000 | 6 562 | Changarawe |
Uwanja wa ndege wa Shinyanga (IATA: SGX, ICAO: HTSO) ni kiwanja cha ndege kinachohudumia mji wa Shinyanga nchini Tanzania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (Kiingereza)
| Makala hii kuhusu uwanja wa ndege nchini Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |