Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
English: Kilimanjaro International Airport
Kilimanjaro Airport Terminal Building.jpg
IATA: JROICAO: HTKI
WMO: 63791
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki/Opareta Kampuni ya Maendeleo ya Kilimanjaro Airport (KADCO)
Mahali Wilaya ya Hai, Tanzania
Kitovu cha Precision Air
Mwinuko 
Juu ya UB
2,932 ft / 894 m
Anwani ya kijiografia
Tovuti kilimanjaroairport.co.tz
Ramani

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Tanzania" does not exist.Mahali ya uwanja nchini Tanzania

Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
09/27 3,600 11,811 Lami
Takwimu (2011)
Idadi ya abiria 650,000

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kilimanjaro International Airport - KIA) unahudumia eneo la mlima Kilimanjaro pamoja na miji ya Moshi na Arusha katika Tanzania ya kaskazini. .

Ni uwanja mdogo unaofikiwa zaidi na ndege za nchini Tanzania. Makampuni ya kimataifa yanayohudumia KIA ni hasa KLM kutoka Amsterdam, Ethiopian Airlines kutoka Addis Ababa, Kenya Airways, Airkenya Express, Qatar Airways, Condor Flugdienst, RwandAir na Turkish Airlines. kuanzia mwaka 1980

Mwaka 2004 abiria 294.750 walitumia uwanja huu. Hivyo ulikuwa uwanja wa ndege wa pili katika Tanzania baada ya uwanja wa Dar es Salaam.

Makampuni ya ndege na vifiko[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: